Jamaa kwasasa wana upepo wao, wanashinda hata kama watacheza vibaya., so hiyo ni faida kubwa sana kwao, angalia sisi kwa mfano jana, tumecheza vizuri mno ila hatukupata goli., so muda mwingine kwenye Moira kuna bahati., so acha tuone huu upepo wao utadumu kwa muda gani.,