Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ancelotti Leo ameona isiwe tabu, hii game ya leo licha ya kuwa ni ya Kombe la Mfalme ila ameamua kuingia mazima, kuonyesha kuwa anahitaji na hili Kombe pia.,
 
Ni matumaini yangu kuwa hawa vijana wetu kutoka America ya Kusini hawajachoka na wapo vizuri, Bilbao ninajua watakuwa kwenye morali ya juu sana haswa ukizingatia kuwa waliwatoa Barcelona hapo kwao, so ninadhani wanatamani na wangependa na sie watutoe kwenye hii michuano,.,
Kwahiyo Leo tunaweza kupata burudani safi sana.,
#HalaMadrid
 
Sijui psg itakuaje
Hizi team kubwa zinafunguka, hizi team ndogo zinatusumbua kwasababu muda mwingi wanakaa nyuma, na sisi tuna tatizo, Ancelotti sijui ana tatizo ama ni kuamini wachezaji, kila game anaingia na mfumo ule ule na wachezaji wale wale, team kazi hizi za akina Granada, Getafe nk tunatakiwa tuingie na 4-4-2, tunakuwa na watu wengi kati, muda mwingi inatengenezwa mipango tu, jana ndio amejitahid akaanza na Isco,
Game dhidi ya team kubwa huwa ni tofauti, kwasababu na wao wanacheza.,
 

Sawa mkuu muda ni mwamuzi tuone yajayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…