HT: Tunapossess vzr ila tunaogopa goli,jamaa wanarudi kwa haraka sana nakufunga njia ila sisi hatufanyi maamuzi ya haraka,kiufupi tumepooza tunapokuwa kwenye eneo la 20 had 18.
Kimsingi uchezaji wa Vin Jr na Hazard unafanana,kwa mtazamo wangu timu inapokuwa imezidiwa siyo afya kuwachezesha pamoja kwa sababu ni mzigo kwa timu wakat wakushambulia.Wanakaa na mpira kwa muda mrefu bila kujua wanaruhusu adui ajipange.

Real Madrid and Kylian Mbappe have reportedly reached an agreement which would see the France international join Los Blancos next summer on a free transfer.
Dirisha dogo la January ndio linaishia Leo. Sie tulikuwa tunataka kuwatoa vijana wetu zaidi ya kusajili, ila ninaona jamaa wamebaki, basi tutakuwa busy sana summer transfer window.