Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,368
Mendy sijawahi kumuamini kabisaKuna muda Mendy sijui ni uwezo ama kubahatisha, amecharaza jamaa wa Sevilla chenga, sema bahati mbaya ule mpira ulienda kuharibika kwenye harakati za kuupeleka mbele.
Huko Uefa sio shida sana, kwasababu ukikutana na wakubwa wenzio hawatakuwa na shida ya kupack basi, zaidi itakuwa ni nani amemzidi mwenzie mbinu.,Ili li timu linazidi kuchana mawimbi huku laliga sina hofu napo. Changamoto iko ukikutana na miamba huko uefa ndio inaweza tufanya kitu mbaya
Mendy jana alimuotea mtu acha kabisa,, nina uhakika ni lazima alienda kuangalia replay.,Mendy sijawahi kumuamini kabisa
Huko Uefa sio shida sana, kwasababu ukikutana na wakubwa wenzio hawatakuwa na shida ya kupack basi, zaidi itakuwa ni nani amemzidi mwenzie mbinu.,
Sasa huku La Liga ndio panakuwa pagumu, unakutana na Granada huko jamaa kuanzia game inaanza mpaka inaisha wapo golini kwao tu, hapo hata ufundi huwa unaisha.
Another 3 points on topJuu ni kikosi chetu kitakachoanza leo dhidi ya Bilbao., Lucas Vasquez Leo ameingia kikosini akichukua nafasi ya Carvajal.,
Points 3 muhimu sana kiukweli, kwasasa tumebakiza final mbili, dhidi ya La Real na game ya Atletico, ninatamani Ancelotti afanye rotation ila kwa game zinazokuja haiwezekani, acha kwanza wamalize hizo game kisha watapata mapumziko kidogoAnother 3 points on top
Sina maneno kwenye hilo, Wanasema usitukane mamba kabla haujavuka mto, acha sie tumalize game yetu labda nitaweza kuweka hapa nenoBarca na Atletico wote wamechezea vipigo!