Snowpiercer
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 2,384
- 4,355
Madrid bado tunakazi ya kufanya hasa striker panahitajika watu pale
Tulifanya uzembe zamani sasa hivi hatuwezi kumtoa pale , hua nawaza Benzema akiumia itakuaje Zidane ame relax kabisa kama vile haoniWe need to sign Lewandoski
Tulifanya uzembe zamani sasa hivi hatuwezi kumtoa pale , hua nawaza Benzema akiumia itakuaje Zidane ame relax kabisa kama vile haoni
Acha masihara mkuu, mchango wa Benzema ni mkubwa sana usimchukulie poa, katika trophy zote tumechukua kafanya kazi inaonekanaBenzema mwenyewe nae mzinguaji tu
Acha masihara mkuu, mchango wa Benzema ni mkubwa sana usimchukulie poa, katika trophy zote tumechukua kafanya kazi inaonekana
Tumeshindwa kumchukua Auba?,Benzema anaweza akapata nafasi tano akafunga moja ogopa sana kutegemea striker wahivyo
kwa umri ule itakua kamari, labda Mbape au HallandTumeshindwa kumchukua Auba?,
sawa ila ilitakiwa usajili wa mbappe au harry kane uwepo pale mbele..Vijana wamejitahidi sana, Real Sociedad sio timu ya kubeza mnafahamu hilo. Ila watoto hao hao ndiyo waliotupa vikombe vya ndani. Baada ya ku-excel kwenye UCL back to back miaka michache tu iliyopita tukiwa na huyu huyu Zizzou tusitegemee kurudi kwenye peak ndani ya muda mfupi tu kwa kuwategemea wachezaji wale wale tuliokuwa tukilalamika kwamba wameshachoka ukizingatia pia mabadiliko yaliyofanyika kikosini hata yeye ameliona hilo. Ni wakati wake sasa na yeye ajenge kikosi imara kitakachoirudisha Real Madrid kwenye hadhi yake iliyozoeleka kwa miaka mingi, ni swala la muda tu. Hata tungefanya usajili wa maana kiaje, getting back on our usual UCL peak cannot happen ovenight!
Kwa hali tuliyonayona bora Auba atasaidia sana.kwa umri ule itakua kamari, labda Mbape au Halland
Eden Hazard is out of Real Madrid squad due to a muscular injury in the right leg.
'After the tests carried out today for Eden Hazard by the Real Madrid Medical Services, he was diagnosed with a muscle injury in his right leg.'
'Hazard could be out for 3 to 4 weeks.
Hiv huyu jamaa atakujaga kufanya ile kitu watu tunachotegemea kweli?
Wamvue jezi namba saba atafanya maajabu yanayotegemewa na wengi
Sizani kama ni sababu
Nisha anza kukata tamaa labda itatokeaHiv huyu jamaa atakujaga kufanya ile kitu watu tunachotegemea kweli?
What's inappropriate with this Hazard aisee, nimesikia tena he's also repotedly return overweight & totally out of shape!Eden Hazard is out of Real Madrid squad due to a muscular injury in the right leg.
'After the tests carried out today for Eden Hazard by the Real Madrid Medical Services, he was diagnosed with a muscle injury in his right leg.'
'Hazard could be out for 3 to 4 weeks.
Binafsi naona kama vile anatembelea nyayo za Ousmane DembéléHiv huyu jamaa atakujaga kufanya ile kitu watu tunachotegemea kweli?
Binafsi naona kama vile anatembelea nyayo za Ousmane Dembélé