Mmeamini sasa ubingwa wa la liga mlibebwa hizi mechi za baada ya corona?
Sio siri mlituumiza sana lkn mungu mkubwa kwa uwezo wetu tumetinga nane bora uefa ukiujua unaujua tu
Viva barca
Mmeamini sasa ubingwa wa la liga mlibebwa hizi mechi za baada ya corona?
Sio siri mlituumiza sana lkn mungu mkubwa kwa uwezo wetu tumetinga nane bora uefa ukiujua unaujua tu
Viva barca
Gareth Bale will stick to his guns and stay at Real Madrid in a £60million stand-off as payback for failing to let him leave last summer.View attachment 1532374
Kwaio msimu ukiisha ndo hamzungumzii mwenendo wa timu yenu kuhusu maswala ya usajili, analysis ya msimu ulioisha na mapungufu..kipi cha kuongeza kwenye kikosi na mipango ya timu mbeleni?