HT:Kimsingi tumecheza sana eneo la kati kurudi nyuma,haionekani kama tunahitaji kushinda...sikumbuki kama tuna on target hata moja...game yoyote kubwa inayohitaji maamuzi ya kiutu uzima huwezi muanzisha benzema na Vin Jr kwa wakati mmoja...unahitaji watu wenye umakini ambao tuseme katika nafasi tatu lazima akutungue moja..Rodryigo ni mtu makini kuliko Vin Jr au Benzema japokuwa kiuzoefu siyo sana lakin anaweza fanya kitu...kulegea kwa foward maana yake tunalazimika kushambuliwa sana na hii ni hatar...tukiendelea hivi naona Barca wakishinda(inauma kusema hivi ila hakuna namna).
Sent using
Jamii Forums mobile app