Zidane anatakiwa aache experiment kwenye hii game. Zile unexpected starting line-up sio kwa mechi hii, maana hawa jamaa wanakuja kukomaa. Hizi haziwezi kuwa pointi tatu za mchezo mchezo tu. Leo patachimbika. Muhimu tuwe na tight defence, otherwise Celta watatudhuru