Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Game ya Leo ilikuwa ni moto sana japokuwa tumetolewa, nimependa tu attitude ya wachezaji wetu, wamejitahid vya kutosha ila ndio hivyo makosa yalikuwa yamekwisha fanyika
 
Zidane amezingua kupanga kikosi na kuchelewa kufanya sub pia, Brahim alitakiwa kutoka mapema tu.
Golikipa inabid msimu ukiisha tu arudi alipotoka kwa kweli, Marcelo ninaona na yeye ameshajichagulia kukaa bench! !
 
Mariano Diaz is one of our own. He scored a lot of goals with Castilla before he got promoted.

Hii timu we iache hivihivi. Combo ya Zidane na Florentino Perez hamtakaa mje kuisahau. Yaani ni mwendo wa silverware mpaka mtakubali
Hahahah Mariano Diaz hana hata kiwango cha kuchezea Granada. Madrid is full of overrated rookies........ Asensio,Vazquez,James,Reguilon,Ordiozola,Nacho,Vinicius hao wote ni bar average ila wanakuwa exaggerated kisa wako Madrid.

Silverware mlibeba sababu ya Ronaldo factor basi ila timu haina lolote la maana zaidi ya shear luck na kubebwa tu. Toka Ronaldo asepe mmekuwa back to square one.
La Liga msahau inaenda camp nou tena na UCL sioni mkimtoa Guardiola kiufupi Madrid imeshakufa na itazikwa rasmi Etihad.

Ntarudi baada ya 2nd leg humu
 
Zidane sio kocha alibebwa na Ronaldo tu, ila siku akienda fundisha sijui Man Utd ndio utamuona alivvyo mbovu kwenye strategy.

Msimu huu mtamaliza bila major trophy tena, kwa kutolewa kwa aibu UCL kma mlivyotolewa na vijana wadogo leo!!

RIP Madrishit
 


Nothing new here, maneno kama hayo mnarudia kila msimu. Anyway, losing is a part of the game, but don't tell me that Guadiola is just going to walk over Real Madrid. Hayo ni maneno ya kishabiki, nitakutag hii post baada ya mwezi mmoja.
 
 
Ushabiki gani mkuu?? Tuwe wakweli ni trophy gani mmeshinda (Tukiachana na bonanza la uarabuni) toka Ronaldo aondoke??

Barca na Madrid mmebebwa sana na kutembelea nyota za messi na ronaldo ila sahvi mmekuwa back to square one ndio maana la liga imeshuka kiwango kabisa.

Pole yenu mumlete mbappe ila kile kiburi cha kusema eti '-we don't need to replace Ronaldo'' ndio kinawacost sasa.
 
Nothing new here, maneno kama hayo mnarudia kila msimu. Anyway, losing is a part of the game, but don't tell me that Guadiola is just going to walk over Real Madrid. Hayo ni maneno ya kishabiki, nitakutag hii post baada ya mwezi mmoja.

Unapoteza muda kubishana na watu kama hawa. Kuna watu wa mpira, na kuna wapiga kelele.
 

Mkuu vipi una kichaa? Real madrid wnaongoza ligi hivi sasa wewe ulikua unataka lipi jengine?
 
Mkuu vipi una kichaa? Real madrid wnaongoza ligi hivi sasa wewe ulikua unataka lipi jengine?
Mnaongoza kwa record lowest points sababu tu Barca na Atletico wote wabovu ila sio sababu ya consitency. But ligi itaenda Camp Nou na ww unafahamu hilo kiufupi ni trophyless season nyingine hii.

Ntafukua hii post baada ya Madridiots kung'olewa na Man City

#AupaAtleti #LosColchoneros
 
Sahau hii kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

EPL fans muna matatizo sana punguzeni mihemko kwenye football.
 
Kijana unapiga pabaya. Asilimia kubwa ya mashabiki wa r madrid wanamchukia ronaldo,wana kinyongo nae utadhan yeye nie aliye wanyima makombe. Aliomba kuongezewa maslah wakakataa kaondoka imekua vita.

Bila yeye wanaweza kufika mbali lakini kila siku wapo pale pale na mapovu tele. Poor hazard angebaki zake chelsea.

Madrid ilitakia imdake mbappe pale tu ronaldo alipoondoka ila wakakalia kumshusha hadhi bado wengine waliona tatizo ni zidane.

Mtu mmoja kachomoka,timu nzima ikavurugika maajabu ya karne.

Kuna jamaa kanichekesha eti anasubiria siku wampige liver ndo dunia itatambua wao ni nani,aisee hawa liver si walishapigwa na madrid UCL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…