Kuna haja ya Dogo kupiga tizi kwa ajili ya ufungaji tu kila baada ya session, ana dribble vizuri tu ila end product yake ni mbovu, nilidhan kuwa atajifunza kwa mdogo wake Rodrygo ila wapi, bado attitude ile ile.,
Zaragoza hawana hata cha kujitetea nacho, tumewanyoosha safi na clean sheet juu.,
Tusubir sasa draw inayokuja tuone robo fainali tutapangwa na team gani.