Team ilicheza vizuri, vijana walitulia sana, ila bado nafasi nyingi tunazopata hatuzitumii vizuri, Hazard sio mtu wa kufunga so anahitaji kucheza na mtu anajua goli haswa, sababu anatengeneza nafasi na ni mzuri kwenye hilo, hawa jamaa wa Leo tulitakiwa tuwapige hata 7.
Ninategemea sasa ushindani wa namba ndani ya kikosi utaimarisha wachezaji wengi, sababu kwasasa ninaona Rodrygo anatishia nafasi za watu, na kupona kwa Isco na Luka Modric ni habari njema sana, angalau Toni ama Casemiro watapata mapumziko huko mbeleni! ! #HalaMadrid