Nimekusoma vyema Mkuu, ila tunapishana kwenye mambo kadhaa, Moja ni uundwaji wa team, kwa upande wangu sijaona kama Zidane ameshindwa kuunda team sababu asingeweza kuuza karibia kikosi kizima kisha akasajili wapya, uundwaji wa team ni kitu cha hatua, usishangae team ikawa inaundwa hata misimu matatu.,
Unaposema kuwa Zidane alikuta team.imeundwa tayar usisahau kabla yake alikuwepo Benitez akafukuzwa kwa kushindwa kuleta matokeo chanya, swali la kujiuliza ni Vp Zidane alifanikiwa na team ile ile na Benitez akashindwa!? Hapo utagundua kuifundisha Real Madrid inahitaji kitu cha ziada.
Kwa makocha uliowataja wapo vizur kwenye team zao japokuwa hawana cv kubwa, anayeweza kuhimili Real Madrid labda Pochettino kwanza apewe muda wa kutosha, ila tukisema kuwa aondoke Zidane kwasasa aletwe Kocha mwingine hakuna wa kutuvusha kwasasa! Ile team inahitaji Kocha anayewafahamu wachezaji , kwasababu si kwamba hatuna team nzuri bali ni kwamba hawana tena ile hari ya kushinda unaweza kuona hilo kwenye game dhidi ya Sevilla, kikosi kile kile kasoro Ramos walitoka kufungwa kule Paris lakin wakapata matokeo La liga, hakuna mbinu mpya iliyotumika bali ni wachezaji waliamua kucheza kama team, ina maana performance kama ile ikiwa inajirudia mara.kwa mara tuna uwezo wa kupata.kikombe msimu huu.
Mkuu Zidane hawez kuiunda team na amesha prove hilo, hata yale mafanikio ambayo aliyapata alkuta team tayar imeshaundwa kutoka kwa mourinho na ancelloti
Madrid inatakiwa kuundwa upya na Si kuendelea na system ile ile ya seasons zlzopita zizou km zizou hawez kufanya hcho ktu, angalia the way team inavyocheza hakuna muunganiko wa kiteam, there is no intensity, no aggressive en poor markin..Haya ni matatzo ambayo daily lazma huyaone kwnye game zote
Wapo makocha wengi tu ambao wanauwezo wa kutuvusha kutoka hapa tulipo kurudi kwenye zama zetu; 1.Mauricio pochettino
2.Massimiliano Alergi
3. Erick Ten hag
4.Marchellor Gallardo...Jaribu kuwafatilia hawa watu Mkuu
Mkuu km hujui hata record za pochettino na allegri sna haya ya kukujibu[emoji111]Tulia wewe.
Wafatiliwe wana record gani za maana?
Ok! lets wait, time 'll tell[emoji109]Nimekusoma vyema Mkuu, ila tunapishana kwenye mambo kadhaa, Moja ni uundwaji wa team, kwa upande wangu sijaona kama Zidane ameshindwa kuunda team sababu asingeweza kuuza karibia kikosi kizima kisha akasajili wapya, uundwaji wa team ni kitu cha hatua, usishangae team ikawa inaundwa hata misimu matatu.,