Nadhani zile sajili za bei ghali ziishe timu ishajiweza
Mechi 3 kubwa mfululizo na point 7 tumepata magoli 6 ya kufunga 3 ya kufungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wenyewe tia maji tia maji, unaweza nunua bei ghali halafu anakua bonge la flopp. Wachezaji wengi wamekua over hyped sana kipindi hichi.Mkuu Perez hawazi kununua mchezaji wa Euro milioni 300 wakati hiyo pesa analipa kwa starlets 10 na kuwatoa kwa mkopo atayefanya vizuri anajiunga na squad. Programme ya Real Madrid sasa hivi inawahusu vijana sio kina Lewandoski tena.
Huyu atatusaidia sana baadae. Nadhani hata namba 7 ilibidi imsubiri yeye. Mariano apewe namba nyingine.Miaka 18 tu lakini ana confidence wala haogopagi. Anachonifurahisha ni jinsi anavyokokota mpira, yaani ule mpira anakimbia nao mguuni man.
Sasa hivi Madrid tatizo ni kila match kuruhusu goli. Naona Coutouis anaflop, Navas arudi golini tu.Nadhani zile sajili za bei ghali ziishe timu ishajiweza
Mechi 3 kubwa mfululizo na point 7 tumepata magoli 6 ya kufunga 3 ya kufungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atatusaidia sana baadae. Nadhani hata namba 7 ilibidi imsubiri yeye. Mariano apewe namba nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama unafatilia Madrid vizuri hua ipo hivi hivi kwasababu wanacheza open football. Mabeki wanapandisha mashambulizi muda wote.Sasa hivi Madrid tatizo ni kila match kuruhusu goli. Naona Coutouis anaflop, Navas arudi golini tu.
Sent using Jamii Forums mobile app