Game over mkuu, wameshambulia kichwa mkuki na presha zao wakapoteza possession. Ikapigwa counter attack moja, Reguillon with a long ball, Carvajal akawapeleka mbio, Asensio akamaliza game.

hata utetee kwa namna zote benzema hafai kuichezea madrid kwa sasa,tugoli huto unamsifia aiseee wewe jamaa hata kama anakulipa sio kwa mashauo hayo. Hao wote uliowataja hapo ni bora kuliko benzema,bwabwaja utakavyo ila benzema aondoke tu