Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Kwa Theo story yake inaweza kuwa imeishia hapo, ila kwa Hakimi sioni akiuzwa, yule dogo anaweza sana, na bahati nzuri yupo kwa mkopo kule Dortmund kwa miaka miwili, so baada ya hapo ninadhan atarudi, Ordiozola itabid akaze sana kumzuia Hakimi..Huyu mjomba alikosea sana kwa kudai kwenda loan. Angebaki pale angecheza mechi nyingi msimu huu kuliko uliopita. Now Odriazola and Reguillon are there to stay, I don't see him or Achraf Hakim make it back to the Bernabéu.
Kwa Theo story yake inaweza kuwa imeishia hapo, ila kwa Hakimi sioni akiuzwa, yule dogo anaweza sana, na bahati nzuri yupo kwa mkopo kule Dortmund kwa miaka miwili, so baada ya hapo ninadhan atarudi, Ordiozola itabid akaze sana kumzuia Hakimi..
Kitu abacho kidogo nimeshindwa kuwaelewa Maboss wetu ni kutaka kumnunua huyu Dogo wa Man city Brahim Diaz wakati James Rodriguez anarudi msimu unaokuja plus Martin Odegaard na yeye anafanya vema kule Uholanzi, wote hao na attacking midfield japokuwa huyo dogo Diaz anaweza kucheza kama foward pia ila ninaona ni wakati club ikampa Martin nafasi msimu ujao..,
Reguillon mwenyew ninapenda anavyojituma akipewa nafasi, Hakimi akirudi inamaana atakuwa anaitolea macho nafasi ya Ordiozola sababu yeye ni anacheza right back japokuwa kule Dortmund kwasasa ninaona anacheza kama left back.,Hakimi afanye kazi ya ziada kumuondoa Reguillon pale. Kwa sasa yupo kwenye squad na akipewa playing time ni moto. Advantage nyingine aliyonayo ni kwamba anacheza Spanish National team ya vijana, Perez huwa hapendi kuuza wachezaji wa La Roja.
James? Mark my words, harudishwi pale
Reguillon mwenyew ninapenda anavyojituma akipewa nafasi, Hakimi akirudi inamaana atakuwa anaitolea macho nafasi ya Ordiozola sababu yeye ni anacheza right back japokuwa kule Dortmund kwasasa ninaona anacheza kama left back.,
Kama James hatorudi itakuwa poa kwa madogo, ila kama akirudi inamaana Isco ataondoka, japokuwa anasema atakomaa mpaka Solari ampe nafasi.
Valverde ninhabari nyingine kabisa, yule dogo anakimbia uwanja mzima, ni bado anacheza kwa tahadhari ila ana uwezo mkubwa tu wa kupiga nje ya box, Kovacic kwa alichofanya msimu uliopita sijui kama atabaki pale, labda kama aliomba radhi, Nimeona kwenye mitandao kuwa James amesema kuwa Club imemhakikishia kuwa atarudi msimu ujao, sasa sijui pale itakuwaje..Isco ana contract till summer 2022 with buy out clause ya €700m. Labda Perez aamue kumuuza tu kitu ambacho hakiwezekani kwasababu ni tegemeo kwenye National team, na Real Madrid wanataka wachezaji wa hiyo. Isco aachane na drama za magazeti acheze business football atapata spot kwenye squad. Akiamua hivyo namuona akicheza na Bale na Benzema pale mbele kwasababu Vazquez can provide but can't score.
Next summer tutaona Battle ya midfielders pale ndio maana hata Kovavic hataki kurudi, so umemuona yule mtoto Federico ?
Valverde ninhabari nyingine kabisa, yule dogo anakimbia uwanja mzima, ni bado anacheza kwa tahadhari ila ana uwezo mkubwa tu wa kupiga nje ya box, Kovacic kwa alichofanya msimu uliopita sijui kama atabaki pale, labda kama aliomba radhi, Nimeona kwenye mitandao kuwa James amesema kuwa Club imemhakikishia kuwa atarudi msimu ujao, sasa sijui pale itakuwaje..
Na James kilichomuharibia ni hicho, kitu kidogo tu anaenda kwenye madia, ila ninadhan atakuwa amejifunza kitu, Tatizo la kumalizia nafasi team inazotengeneza, tatizo Icard ghali sana, na Perez anaonekana hataki kuvunja kibubu..,James atatuharibia timu drama zake bora akae hukohuko. Akikaa benchi mechi mbili mpaka mamaake anaongea na media. Tunao providers wengi, pale anatakiwa finisher kama Mauro Icardi sio kiungo. Napataga tabu sana kukaa kwenye kiti nafasi wanazopotezaga forward zetu.
Hii timu iko vizuri, wanapiga football la kufurahisha, tatizo kuweka mpira nyavuni ni utata. Yaani kwenye 10 clear chances wanafunga goli moja.