Jamaa kuna muda anapotea kabisa kwenye game, acha kwanza achezee hiyo nafasi anayoipata kwasasa, siku Solari akibadili mfumo na ukatick bila yeye ataanza tena kulia kwenye media...
Vaquez sijui ni kwamba amaechoka ama ndio kiwango ndio kimefikia mwisho? Ila na yeye mara nyingi amekuwa akicheza chini ya kiwango