Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #39,821
Loptengui tatizo lake nilikuwa naliona ni kutaka timu icheze pasi nyingi, hafu mazoezi yake kwa wachezaji yalikuwa mepesi kama wakati wa Juan Ramos na Luxembourg-tunakuulizia wewe pia ulietwambia lopetegue apewe muda, uko wapi?
Sijamfuatilia huyo mchezaji lakini kama ni straika na ananguvu miguuni atatufaa sana, Benzema kwenye mechi ambazo mabeki wanakabasana huwa hafurukutiRiver Plate President Rodolfo D'Onofrio has confirmed that Emilio Butragueno called to enquirer about Palacios. Negotiations will begin after the Copa de Libertadores Final.
The futureOdriozola, Reguilon, & Vinicius Jr
Valejo auzwe tu, anagundu la MajeruhiMARCA|Real Madrid plan to sign back youth product Mario Hermoso from Espanyol this January.
Los Blancos can purchase the defender for 7.5 million euros, and because they are still awaiting a fully fit Jesus Vallejo, and can see just what competition Hermoso would bring, it appears to be a deal that will be executed.
MARCA: Solari will play Courtois in the Champions League and La Lga. Keylor Navas will play in the Copa Del Rey.
To me Navas will remain to be the best