wachezaji wote wana uwezo mkubwa, tena sana, kocha ndio anatuangusha, naona hana ufundi wa kukitumia kikosi kikubwa kama kile.
Morali ya team uwanjani ni pamoja na kocha
Timu unaweza sema ni kindai shooting inacheza...hovyo kbsa....mipira inafika eneo letu la 18 hakuna viungo wakabaji...yaan tunawapa room kubwa sana barca
kuna muda Bale alikuwa anatokea kushoto ilikuwa poa sana, akiendelea vile itamsaidia Marcelo asipande sana maana huyu beki huwa akiona mpira haupandi anaamua kupanda mwenyewe matokeo yake kutipigwa kaunta anabaki anatambaa tu
Lopetegui should've started Odriazola in a place of Nacho. I didn't see a good game from him previously. He became that old Nacho who were sitting on the bench 5 years ago.