Maneno yenu hayatuumizi ndugu! Kuna kufungwa na kushinda ktk mpira ndugu, so kuishutumu Madrid ooh Mara eti inabebwa sijui inabatisha Yaan maneno hayaishiKuna patience ila sio kwa striker kama benzema na mariano eti ndio wawape makombe!! Come on mahn u can't be serious......
You have replied him well man! It seem like vikombe vya Uefa vinamuumiza aiseeIt hurts you a lot, pole sana. Na hizi story tumezizoea Hakuna jipya uliloandika.
Deserved??? There's no such a thing in football... Only the winners are remembered... If they deserved wasingeruhusu goli dakika ya 94...if they deserved Griezman na Juanfran wasingekosa penalty... Madrid has been winning the champions league because of great squad ..great coaches... great mental strength ya wachezaji ..that never say die attitude especially kwenye knockout games... Sema kwenye league... Over a run of 38 games Madrid wana tabia ya ku lose concentration ndo mana wana drop points nying sana... Lakini kwenye champions league... Let nobody lie to you... We deserved everything we've wonKwa mtu anayefuatilia mpira anajua atletico deserved both the trophies kma sio griezmann kukosa penalty ya normal time 2016 ama atletico kuruhusu goli la stoppage time la Ramos.... Alafu mtu ana summarise tu eti TUMESHINDA 3 IN A ROW
Kama ni dominant kwanini la liga inawashinda miaka nenda rudi.... Real Madrid are overrated na aliekuwa anawabeba ndio huyo kasepa sahivi mnatia huruma tu
Nacheka kibasque 😀😛
Katika maisha kuna kipindi cha mpito na ndicho wanachopitia Real Madrid
Na kitaisha Baada ya msimu huu kwisha endeleeni kuvumilia wandugu
haya mapito ya kujitakia haiwezakani Mariano awe replecement ya Ronaldo, mchezaji ambae hata Leicter city angekaa bench ,Benz nae ana zingua tu wanajifanya hawaoniKatika maisha kuna kipindi cha mpito na ndicho wanachopitia Real Madrid
Na kitaisha Baada ya msimu huu kwisha endeleeni kuvumilia wandugu
Kwa mtu anayefuatilia mpira anajua atletico deserved both the trophies kma sio griezmann kukosa penalty ya normal time 2016 ama atletico kuruhusu goli la stoppage time la Ramos.... Alafu mtu ana summarise tu eti TUMESHINDA 3 IN A ROW
Kama ni dominant kwanini la liga inawashinda miaka nenda rudi.... Real Madrid are overrated na aliekuwa anawabeba ndio huyo kasepa sahivi mnatia huruma tu
Nacheka kibasque 😀😛
Kuna patience ila sio kwa striker kama benzema na mariano eti ndio wawape makombe!! Come on mahn u can't be serious......