Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Jamaa ujeuri ndio utammaliza na hata tuzo ya juzi kaikosa sababu kahama timu
Juve watanufaika kibiashara ila sio kwa services za Ronaldo uwanjani
 
Hii n kweli kabisa mpaka sasa real Madrid tumeshapata penati tstu hii ina maana kama Rinaldo angekuwepo zote angepiga yeye. Nimemuona Jana mechi dhidi ya parma anarukarika tu, kufunga wanafunga wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo alikuwa na mchango mkubwa sana hapo madrid kuna muda timu kaivusha hatua za mtoano na kwenda kubeba ndoo

Umesahau kila jambo lina mwisho wake.
 
wazee wa mbeleko usishangae sagio ramos musimu huu akaondoka na golden boot kwa magoli ya penalty

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…