Poa basi mkuu usilie na kuangusha historia za enzi za mwalimu nipo kila uzi wa sports na wala sitakimbia timu yoyote kama mtakavyo. Napenda mpira mzuri so vumilia tu comments zangu. Am here to stay. All in all lets apreciate CR7 efforts and achievements alizoleta madrid.
Case closed.Cristiano pia amepata awards nyingi kwa sababu ya kuchezea Real Madrid
Ooohh waaow hebu ona na wewe jamaa ni G.O.A.T
Ronaldo kulipwa billioni 1.6 kwa wiki - Millioni 10 kwa saa! . Baada ya jana kutangazwa kujiunga na klabu ya Juventus FC ya Turin Italia - sasa imeripotiwa kwamba Cristiano Ronaldo ataingiza jumla ya billioni 324 kwa miaka 4 atakayoitumikia Juventus kutokana malipo ya mshahara tu bila kuweka marupurupu mengineyo. Mpira unalipa wewe!! ; Huu hapa ndio mchanganuo ya malipo ya Ronaldo akiwa Juventus kwa fedha za madafu! . Bilioni 324 kwa miaka 4. Bilioni 81 kwa mwaka. Bilioni 6.75 kwa mwezi. Bilioni 1.6875 kwa wiki. Milioni 241 kwa siku. Milioni 10 kwa saa. Laki 167,000 kwa dakika. 2,800 kwa sekunde.
Case closed.
Afadhali kaenda. No more drama in the squad. Kinachofuata ni mwendo wa rotation kwa squad nzima, hakuna mambo ya untouchable player anymore
CR7 akiwa kwenye performance mbovu(kama unavyosema) alikuwa na mchango mkubwa kwenye timu kuliko waliokuwa na performance nzuri kwa age yake usitegemee atakuwa anakimbia/kukaba kama yuko kwenye 20s kumbuka ana miaka 33 na kitu kizuri ni jinsi Zidane alivyoweza ku-mfanyia rotation ili awe fit muda mwingi
Achana naye huyo.Dou you except 33 years old striker ambaye muda mwingi amecheza mpira miaka karibia 15 bila kupumzika afanye dribble kama kina Asensio,Isco,Mbape?
Kwenye kufunga magoli CR7 is the best hakuna anayemzidi
CR7 agemates wake ni kina Zlatan,Rooney hakuna mchezaji wa age yake aliyemfikia
Mmoja wapo ni Mimi.Sasa Rasmi hii Thread Itakufa, maana kumbikumbi nyingi za Man U zita hama kutoka Madrid na kutua Juve
Mmoja wapo ni Mimi.
Now that CR7 is not their player, you will see every kind of criticism from madridiots!
Wamepita wengi hapo madrid, akina Raul na Ricardo Kaka. Ila hakuna alieipatia madrid mafanikio kama Ronaldo.
Show some respect to the second best player in the world.
By the way, nasikia sasa hivi mashabiki wa man united wana team tatu za kushabikia. Siku sio nyingi mtaongezewa team ya nne probably marekani au China!
SawaHii thread ndio most active thread kwenye sports forum. Why? Kwasababu Real Madrid supporters wako very close with their team, wanafuatilia activities zote. Kama unafikiri hii thread iko hapa kwa ajili ya Ronaldo basi unaota ndoto .