Make no mistake - whilst Roberto got a deserved red card, we’ve got 3 yellows and i’ve seen Clasicos for the past 16 years to tell you that because of theatricality and pressure on the referee, we may see 1 or 2 reds as well.
HT😀akika 15 za awali tulicheza kama ambavyo tulitegemea madrid kucheza kwa uoga,wkapata lakuongoza...lakini tukarudi mchezon...japokuwa ronaldo amefunga ila bado hachezi kwa umakini wa 100% kuna nafasi kama tatu za wazi zakumaliza shughuli ameshindwa zitumia vzr...bale akipumzishwa aingie Ansensio itakuwa vyema...kule upande wa Nacho panatakiwa papate mtu wa mbio mbio na umakini kias...akiwa ansensio au Luca itakuwa vyema....ni ngumu kitabiri nani atashinda ila atayepigwa hapa fasta ana shughul...naona kama piga nikupige...lakini pia naona refa atasawazisha idadi ya wachezaji kwa mchezaji wa madrid kula waya mwekundu
kwa nini husemi namsifia Ter Stegen? Kacheza moja, na kuna moja imeenda wide kidogo ila ongekuwa kwenye target kipa angeichukua! naangalia mpira na hamna goli la wazi alilokosa!
Ila pia umeiona aliyoicheza Navas miguuni mwa Messi?? Hii hujaiona??