Cha ajabu njemba mbili zimezidiwa na mdada kujibizana na mdada ni sawa na kupiga tikitaka mbele ya mama mkwe ukiwa umevaa msuliAkamuhudumie nani wakati wanaume tupo huku kwenye mpira?
Acha atufate huku huku.
Yani mkifungwa mnatukana kila mtu ***** zenu. Jana mmetukana sana tulikua tunawasubiri!
Acha juve awashike makalio kimya kimya!
Shemeji tulia tulia turiNasemaje umama kwangu sifa neno jipya ndio mimi mmama nitafute kiki kwako wewe mpuuzi uliyekuja jf juzi?? Jiangalie
OkayShemeji tulia tulia turi
Leo ni baba jeni baibaiMadrid wakikumbuka kale ka wimbo ka uefa huwa kanawapa mzuka..leo sijui imekuwaje...
Nimechagua kukaa kimya shem.Shemeji nani kakuuzi tena
Ngoja nisubr kipenga cha mwisho....huu mpira wa miguu hauna adabu shekh..Leo ni baba jeni baibai
Dawa inawaingia taratibuShemeji tulia tulia turi
Ndio una lingine?? Au umeona hilo tu????Kumbe MTU mwenyewe ulikuwa tasa uzai ndo umezaa juz 2013 mtt
Haya hebu mwangalie mtt
Tulia na ww kaaaKumbe MTU mwenyewe ulikuwa tasa uzai ndo umezaa juz 2013 mtt
Haya hebu mwangalie mtt