AaahHT:timu imecheza vizuri sana...Isco disco ametawala sana kati kuelekea mbele akishirikiana vyema na modric,kroos na mlinda beki cas....tumetulia sana...timu ikiwa na mpira unaoana kabisa haina papara na ipo makini katika kitoa pasi...mapungufu ni kidogo haswa kwa mchezaji binafsi ambaye ni benzema...akipata mpira hajui afanye nini,nafikiri sub yake akiingia Lucas au Ansesio siyo mbaya...ila hadi hapa timu imetawala vyema...
HahahaHahaha naona jamaa anajifariji
Dzain aliwekewa mguu ivv
Hii mechi tunaimaliza hapa hapa...Jamani Bila Ramos hiyo mechi tutacheza vipi
Hahahaa
Jamani Bila Ramos hiyo mechi tutacheza vipi
Hahahaa
Kwa kweli we should jus finish this game hapa