Hii kitu hata mwenyew ilinihuzunisha sana, nikitamani asingeingia kabisa, sababu refa alikuwa ameongeza dk 2 tu za majeruhi, ninadhan Zidane itabid akae chin na huyu kijana ili amwelewe aisee, Zidane na yeye alikuwa kama akina José Morinho
Kovacic ameshaanza kurudi, ninaona ameanza kujiamin tena, hii ni ishara nzuri sana kwake, kilichobaki ni yeye kufanyia kazi ishu yake ya kukaa na mpira sana wakati tunashambulia , Ile team B ya msimu uliopita ninaiona inarudi kidogo kidogo..
Hao siku hiyo watacheza hata kwa kupigwa ganzi, ila bado muda upo, Marcelo na Kroos wanaweza kuwepo, Modric ndio ninaiona kama anaweza akaanzia bench...