pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,754
Mkuu huyu chalii hana kiwango chakucheza madrid...haki vile...sasa hebu angalia umbali kutoka katika mstari wa goli uelekeo wa mpira na hadi ukamgonga...yaan unaona kabisa huyu mtu ni mzito katika kufanya maamuzi...ule mpira asingeugusa wala usingeingia golini....Ndio kwanza 40 minutes Tall, ngoja Kova aende bench game itabadilika.
Team inakatka sana wakati tunashambuliwa , Casemiro alikuwa anaipa beki yetu ulinzi wa kutosha, ila kwasasa kidogo amechoka, ninadhan ametumika sana, Zidane itabid aangalie jinsi ya kupanga ukuta wakeTumefunga magoli 19 kwenye mechi 4 za mwisho za La Liga. But we tend to lose concentration in defense especially with these considered small teams. Zidane anatakiwa aangalie hili swala kwa makini sasa.
Kijana wako bado hajaacha kushangaa, sijui huwa anawaza familia yake¡¡ sababu sio kwa kuduwaa kule man, akiacha hizo mambo zake, hua anajituma sana akipewa nafasi..,Huyu Nacho K@$@^&%#e zake...ngoja nkalale mimi....
Tumerudi kwenye ile himaya yetu ya kubadili matokeo dakika za mwisho., game nyingi tulizingua sababu ule muda wa kuwachanganya wapinzani na goli za 80s min ulipotea., ila kwasasa vijana wanarudi!!Ndio kwanza 40 minutes Tall, ngoja Kova aende bench game itabadilika.
Ninadhan sio serious sana, mwenyew niliona kama alitaka kuendelea sema Zidane akaamua tu kumtoa as precaution!! [HASHTAG]#AnimoMarcelo[/HASHTAG]Marcelo with a hamstring injury, e could be a doubt for 2nd Leg PSG