Timu pekee ya Ufaransa iliyowahi kucukua hili kombe tena 1993 ni Marseille sasa hawa PSG wanataka kuwafanya mabingwa wa siku zote uchochoro wa kuchukua kwa mara ya kwanza. PSG hata fainali hawajawai kufika!
Yaani zile one two touch babu hakuuona mpira, halafu na Modric alikuwepo palepale. Maana huyu Modric kila unakokwenda mpira na yeye yupo, yaani natamani kama angekuwa bado na miaka 20 tuendelee kumfaidi.