Hongereni Madrdistas wote, bado tuna Safar ya kwenda Ufaransa ila sio mbaya tukajipongeza kwa vijana wetu walichokifanya Leo.,
Yaani niliugua dk zote 90, vidole vilikufa ganzi kabisa, nilishindwa hata kutype., Hongera sana Mkuu Salamander kwa kutuwakilisha., HalaMadrid !!