Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #34,941
hawana Leganes hawana tu forward ila wanadefend vizuri sana
0llSioni uelekeo wa maana kwa perfomance hii. Aidha Zizou aondoke au akubali mapungufu haya ili kubadili kila kitu turudi kwenye form
Hayo mapungufu unayoyaeleza ndio ninayosema kuna umuhimu wa ku-reshuffle karibu kila idara na aina ya uchezaji pia ubadilike. Mayoral hawezi gusa mpira endapo midfielder wanacheza ovyo kama wachezavyo.0ll
Man, napata kigugumizi kusema chochote, maana timu inacheza bila forward line. Yule Borja Mayoral sio striker wa kucheza Real Madrid, yaani dakika 90 kagusa mpira mara moja. Leganes wametutoa jasho, na yule Nacho karudi kama zamani, anacheza hajui anamkaba nani. Ilikuwa kidogo tu tupigwe