Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

huyu jamaa mpambanaji sijapata kuona...kutoka 1-4 leo 5-5 kama ingekuwa anapigania uhuru wa nchi basi angekuwa Mandela+
 
GOOD NEWS - Mchezaji Cristiano Ronaldo wa Real Madrid amejishindia tuzo ya Mchezaji Bora Barani Ulaya usiku huu ikiwa ni mara ya Tano kupata tuzo hiyo. - Ronaldo alishinda tuzo hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2008 na kisha kushinda miaka ya 2013, 2014 na 2016.

Cristiano C.Ronaldo ameshinda Ballon d'Or 2017⚽ Hii ni yatano
 
The Real Madrid star took home the prize after guiding his team to a La Liga and Champions League double in 2016-17
Real Madrid star Cristiano Ronaldo has won the 2017 Ballon d'Or.
It is the fifth time the Portugal international has won the prize, drawing him level with his great rival Lionel Messi for the most Ballons d'Or of all time.
Ronaldo scored 42 goals across all competitions during the 2016-17 season, leading Real Madrid to a La Liga and Champions League double.
 
The 32-year-old netted 25 times in La Liga last term and added 12 goals in the Champions League, including a brace in the final against Juventus.
"I'm very happy. To get this prize in Paris is a great experience, it's marvelous," Ronaldo told L'Equipe TV.
"It's a great moment of my career. It's something I wish I have every year. We had a marvelous year. I was the [top] goalscorer of the Champions League, so I want to thank my team-mates.
"They were important for me. And also thanks everybody who helped me to be in great form during the season."

It's the second straight year Ronaldo has won the award presented by France Football, and he was also named the Best FIFA Men’s Player of 2016-17 in October.
Ronaldo also took home the Ballon d'Or in 2008, 2013, and 2014.
 
FIFA formerly awarded the Ballon d'Or in conjunction with France Football, but the two entities split their prizes last year.
The Portugal star was joined in the top 30 by six of his Real Madrid team-mates: Karim Benzema (25th place), Toni Kroos (17th), Marcelo (16th), Isco (12th), Sergio Ramos (sixth) and Modric (fifth).

Ronaldo has picked up where he left off last season in this year's Champions League, scoring in all six of Madrid's group-stage matches – a feat that had never been accomplished before .
But he hasn't matched that form in La Liga, netting just two times in 10 appearances thus far.
 
Mnampaaamba wakati juzi mlikuwa mnamwita cjui mbwa,cjui kopo cjui nn!!!!!,,,!!
Ngoja jmosi mtalia humu
Sevillaaaaaaa piga hawa mbwa
 
Tetesi
Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale, 28, ataruhusiwa kuondoka Bernabeu msimu ujao huku Manchester United wakimmezea mate mchezaji huyo wa zamani wa Tottenham. (Diario Gol, via Express)
 
Wapinzani na fanz wa timu zingine wenye wivu na mnyama labda.

lkn sio mashabiki wa Madrid...mchezaji anayetukera mashabiki wa Madrid ni Benzema peke yake..Ronaldo bado yuko stable jombaa...

Njoo vile nimeskia anataka balon O'dor 6-7...
 
Sevilla piga hawa mbwa
Piga yazidi kurudi chini
Yapigieni mashuti na maheda mtayaweka au pigeni krosi kwenye box lao yatajifunga 2
Endeleeni kuyakaba kama yanavyokabagwa na timu nyingine
Yale mavipofu mawili pale mbele msiyahangaikie sana.Hayafungagi la liga.Endeleeni kuyakazia vyuma!!!!!!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…