Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kama ninakuona unavyochungulia kwa mbali, endelea kulia
Namimi nakuona vile usiondoke endelea kuiangalia timu yako

Aubameyang hatrick hii isikukose
Tia haya majinga kbs
Unayatiaga moja moja sasa leo tia tatu kabisa vibonde hawa
Piga hilo pazia kabisa wanaanza kulilia players wa watu
Kudadeki zenu ulaya si ya baba yenu!!!!!!!
 
beki leo ndio zimepoteana vibaya, afadhali safu ya ushambuliaji wanafanya yao
 
Vp bado ulikuwa unachungulia!? ama ulikimbia? Ndio kwanza Safar inaanza , tukutane huko kwenye makundi,
 
hii game ilitakiwa vijana washinde confidence irudi
Nilipenda sana vijana walivyokuwa wanajituma dk za mwisho kutafuta goli la ushindi, Hiyo ndio Real Madrid ninayoijua, hasta el final, kijana aliona atuonjeshee vijana wetu wa baadae, just few touches hii team itakua moto sana.,
 
Michezo nane ya mwisho ya hatua ya makundi ya klabu bingwa barani ulaya imechezwa usiku huu na hivyo kukamilisha jumla ya timu kumi sita zilizosonga mbele.
Majogoo wa Liverpool, wameibuka na ushindi wa kishindo nyumbani kwa kuichapa Spartak Moscow magoli 7-0 huku Maribor wakitoka sare ya 1-1 na Sevilla hivyo katika kundi E ni Liverpool na Sevilla zinasonga mbele.

Katika kundi F, Waholanzi wa Feyenoord wakaifunga Napoli 2 - 1,nao Shakhtar Donetsk wakapata ushindi muhimu wa mabao 2 - 1 dhidi ya Manchester City hivyo Man City na Shakhtar Donetsk wanasonga mbele katika hatua ya kumi na sita bora.
Wareno wa Fc Porto wakatakata nyumbani kwa ushindi wa goli 5-2 dhidi ya Wafaransa wa Monaco nao Wahuni wa Besiktas wakashinda ugenini kwa ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Leipzig. hivyo katika kundi G,Fc Porto na Besiktas ndio wanafuzu kwa hatua ya kumi na sita bora.

Katika kundi H, Real Madrid na Tottenham zimefuzu kusonga mbele baada ya Real Madrid kuwachapa Borussia Dortmund 3-2, Huku Tottenham Hotspur wakishinda 3 - 0 dhidi ya APOEL Nicosia.
 
Zidane: "Varane has hurt himself and tomorrow he'll go for a scan. He has said that it's nothing major, but we'll have to wait and see. He won't be fit for Saturday, that's for sure.”
 
3 out of 7 goals Real Madrid conceded in the UCL group stage were offside. (2 vs Tottenham, 1 vs Dortmund)





 
Teams Real Madrid might face in the 1/8 :

- Manchester United
- Manchester City
- Liverpool
- PSG
- Roma
- Besiktas
 
Zizou's Post-Match Presser:

"We got off to a very good start, scoring twice in the opening few minutes. We then had a tough spell following the injury to Varane."

"I imagine that we'll be in a very strong position in February, when the last-16 games come around."

'I'm sure that after the holidays and the break in action, we'll be in good shape. On Monday we'll find out which opponents we face, but we know that it'll be a tough team. I don't care who we get".

Varane
"He's hurt himself and tomorrow he'll go for a scan. He has said that it's nothing major, but we'll have to wait and see. He won't be fit for Saturday, that's for sure."

Keylor Navas
"I've got two goalkeepers and I'll always repeat myself on this one: I'm the Real Madrid coach and I'm happy with my two goalkeepers. We can all do a bit more, of course, that's always the case, but I thought that Keylor did well".

Ceballos
"I’m pleased with his performance, he did a good job. It’s not easy to come on like that, and he played very well alongside Llorente. He’s ready to help the team, and all I can ask of my players is that they’re ready when called upon".

January transfer window
"There is the potential to sign players, we may do so. The window opens on the 1st of January and runs until the 31st. We’ll see what happens."

 
Tetesi

Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane na rais Florentino Perez wamewasiliana na mchezaji wa Chelsea Eden Hazard, 26. (Diario Gol via Daily Mail)
 
Training | The squad completed the third session of the week at Real Madrid City and began preparing for the league match against Sevilla, which will be played this Saturday at the Santiago Bernabéu stadium (4:15pm CET).



 
Training | The squad completed the third session of the week at Real Madrid City and began preparing for the league match against Sevilla, which will be played this Saturday at the Santiago Bernabéu stadium (4:15pm CET).



Dahh...much worries than ever...
 
Training | The squad completed the third session of the week at Real Madrid City and began preparing for the league match against Sevilla, which will be played this Saturday at the Santiago Bernabéu stadium (4:15pm CET).



Real Madrid city??!!!!!!!!??!!

Huko ni kuchanganyikiwa kwa hali ya juu


sent using my xm udongo using jf mobile app
 
Real Madrid city??!!!!!!!!??!!

Huko ni kuchanganyikiwa kwa hali ya juu


sent using my xm udongo using jf mobile app



Real Madrid City (Ciudad Real Madrid) is the name given to Real Madrid's training facilities located outside Madrid in Valdebebas
 
Real Madrid City (Ciudad Real Madrid) is the name given to Real Madrid's training facilities located outside Madrid in Valdebebas
Mmmh nyie majirani nyie!!!
Sawa nimekuelewa


sent using my xm udongo using jf mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…