Hawa jamaa ndio wamelizika na vikombe vya msimu uliopita nini mbona ile hunger ya ushindi kwa kila game inapotea, gap la points linaongezeka taratibu daah.
Yaan madrid inaitaji msasa mpya wachezaji wamerizika mataji , zidane naye mbinu ake ya krosi ni uboya pia , kingine timu iuze watu na watu walizoee benchi mfn ronaldo benzema tupa benchi ,kuna number 9 nzuri tuu makinda leta mbwaaa hawa.