Aisee, ni mwanzo wa msimu tu ila nahodha wetu watatu tayari wameshakula umeme, yana mwisho haya.Marcelo has been given a two match suspension for the red card he picked up against Levante.
Sasa hayo ni zaidi ya majanga, hicho kipigo sio cha hapa, kocha anaweza kuresign kw kweli.Guti and his kids on steroids.
Ngoja nikamcheki kijana wangu Kovacic, hope Cebellos na Borja watapewa nafasi kama tukimaliza game mapema.
Guti and his kids on steroids.
Ngoja nikamcheki kijana wangu Kovacic, hope Cebellos na Borja watapewa nafasi kama tukimaliza game mapema.
Noma sana huyu kijana, atakuja kukimbizana sana, kuna watu bado wanamchukulia poa, ila huyu kijana ni moto mwingine.Unakumbuka hii? I don't know what the Mofa was trying to do here
Kama kawa kama dawa,moto ni ule ule., Tunauwasha tena.,Real Madrid XI vs APOEL: Navas, Carvajal, Ramos, Nacho, Marcelo, Casemiro, Kovacic, Modric, Isco, Bale, Ronaldo [HASHTAG]#RMAPO[/HASHTAG] [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]