Mzee unataka kugombana na wenye timu unamtetea Benzema....sasa hivi utaanza kuitwa "fanboy"Kwa Karim mimi nitamtetea kidogo, anafanya kazi kubwa ambayo wengi huwa hatuioni tatizo tunawaza kwa vile yeye ni namba tisa afunge ndipo tuuone mchango wake.
Ila kuna kazi huwa anaifanya kurudi kukaba mbaka kwenye box ambapo kwa zile namba tisa kama namba tisa ni adimu kufanya hivyo. Morata naye alikuwa na uwezo huo, sasa kama Morata kaondoka sioni namba tisa ya kurudi hivyo.
Game inavyochezwa nahua wengi huwa na kimuhe muhe ila ukiweza kuangalia marudio ndipo utagundua kumbe Karim kuna vitu huwa anasaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kwamba namtetea hata mimi nilikuwa simpendi toka Gonzalo hajauzwa Napoli nilimind kwanini auzwe Gonzalo Karim abaki, sijawahi kumkubali Karim.Mzee unataka kugombana na wenye timu unamtetea Benzema....sasa hivi utaanza kuitwa "fanboy"
Mbappé has given his YES to Real Madrid. The Catalans and City tried convincing him too. [AS]
LALIGA NDIO INACHO BOA SASA MADRID NA BACA NDIO TIMU PEKEE HAKUNA TIMU PINZANI YOYOTE DUUH
LIGI BOVU ILI
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah Santiago bernabeu trophyLeo madrid tunacheza sa 5 kombe ya Santiago trophy km una madrid apps au madrid tv nafikri itaonekana
Liverpool - 5Kweli ni ligi mbovu ndio maana hata UEFA wanacheza na vibonde tu
Na ndio maana aliwafunga vibonde wa EPL
Wewe ligi unayoishabikia ni timu gani ina vikombe zaidi ya Real?
Nina uhakika hata ukijumlisha Vikombe vyote vya UEFA kwenye ligi unayoshabikia bado havifiki 12
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli ni ligi mbovu ndio maana hata UEFA wanacheza na vibonde tu
Na ndio maana aliwafunga vibonde wa EPL
Wewe ligi unayoishabikia ni timu gani ina vikombe zaidi ya Real?
Nina uhakika hata ukijumlisha Vikombe vyote vya UEFA kwenye ligi unayoshabikia bado havifiki 12
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Salamander your boy started with a bang. Seems like he could actually do it on a cold rainy night after all.