Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Bado tuna tatizo na hawa vijana wawili, sioni wakibadilka hata kidogo, sielewi ni kwamba wamefika mwisho ama bado wapo pre season? kwenye kiungo tupo vizur sana kwa kweli.
Aiseeeh zidane sio mtu mzuri kwa ilivyobaki sasa hiyo sio rekodi tena yaani ni kijirekodi tuSantos walitupia game 74 mfululizo hivyo bado game 5 tu Real Madrid kuifikia record hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda huwa simwelewi kabisa huyu jamaa, yaani ni kama homa ya vipindi, hasomeki hata kidogo, wakati wowote anaweza kuwachoma, sasa sielewi kuna wakati anaachaga akili zake home au laa!!Captain inabidi ache bangi hata njano ya mwanzo ilistahili nyekundu moja kwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiburi cha Benzema kinatokana na kukosa tu wa kumkalisha bench kwnye nafasi anayocheza, so anarelax sababu anajua hakuna wa kuchukua nafasi yake, na sioni Zidane akisajili CF msimu huu, so tutegemee huu uchezaji wake mpaka mwisho wa msimu.Benzema uvivu na kiburi. Bale kafika mwisho, angeuzwa tu.
Mambo ya faru dume na sifa united uwanja wa kinesi au enzi zile za boom fc na ashanti ubabe mwingi na undava aache palikuwa hapana sababu ya kumvaa jamaa kivile atakuja kutugharimu sana wakati muafakaKuna muda huwa simwelewi kabisa huyu jamaa, yaani ni kama homa ya vipindi, hasomeki hata kidogo, wakati wowote anaweza kuwachoma, sasa sielewi kuna wakati anaachaga akili zake home au laa!!
Mi nahisi cha Arusha kinamsumbua, akili zake haziwezi kuhimili.Kuna muda huwa simwelewi kabisa huyu jamaa, yaani ni kama homa ya vipindi, hasomeki hata kidogo, wakati wowote anaweza kuwachoma, sasa sielewi kuna wakati anaachaga akili zake home au laa!!
Kwa Karim mimi nitamtetea kidogo, anafanya kazi kubwa ambayo wengi huwa hatuioni tatizo tunawaza kwa vile yeye ni namba tisa afunge ndipo tuuone mchango wake.Kiburi cha Benzema kinatokana na kukosa tu wa kumkalisha bench kwnye nafasi anayocheza, so anarelax sababu anajua hakuna wa kuchukua nafasi yake, na sioni Zidane akisajili CF msimu huu, so tutegemee huu uchezaji wake mpaka mwisho wa msimu.
Kwa Bale ni kweli jamaa amefika mwisho tayari, sioni aki ongezeka kiwango zaid ya hapo, bahati mbaya Perez hana mpango wa kumtoa kwasasa.
umeongea point tupu Benz ana fanya kazi kubwa sana ku drive mipira hasa kwenye box na kuwapunguza mabeki kitu kingine ana uwezo mkubwa wa kumiliki mpira angalieni goli alilo funga Ton Kross kazi kubwa ilifanywa na Benz.Kwa Karim mimi nitamtetea kidogo, anafanya kazi kubwa ambayo wengi huwa hatuioni tatizo tunawaza kwa vile yeye ni namba tisa afunge ndipo tuuone mchango wake.
Ila kuna kazi huwa anaifanya kurudi kukaba mbaka kwenye box ambapo kwa zile namba tisa kama namba tisa ni adimu kufanya hivyo. Morata naye alikuwa na uwezo huo, sasa kama Morata kaondoka sioni namba tisa ya kurudi hivyo.
Game inavyochezwa nahua wengi huwa na kimuhe muhe ila ukiweza kuangalia marudio ndipo utagundua kumbe Karim kuna vitu huwa anasaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule ndio zake, anaweza akawaliza muda wowote, utadhani kuwa kuna wakati anasahau akili zake home! Kuna kadi huwa ninazielewa mfano za Casemiro hua zinakuwa za technical zaidi kuliko za Captain wetu.Mambo ya faru dume na sifa united uwanja wa kinesi au enzi zile za boom fc na ashanti ubabe mwingi na undava aache palikuwa hapana sababu ya kumvaa jamaa kivile atakuja kutugharimu sana wakati muafaka
Sio kwamba Benzema hana mchango kwenye team, ishu ya Benz ni kurelax, ana hiyo mambo sana, mataani tunasema anacheza sana kifather, nikimaanisha hana njaa na magoli, sasa kama CF wako hana njaa na ushindi ujue una tatizo, hatakiwi kumwachia CR7 hiyo kazi, yeye afanye majukum yake ya no. 9, kama ana vitu vingine anasaidia kwenye team sio mbaya ni vizur pia, ila anatakiwa atuhakikishie zaidi ya goli 20/season.Kwa Karim mimi nitamtetea kidogo, anafanya kazi kubwa ambayo wengi huwa hatuioni tatizo tunawaza kwa vile yeye ni namba tisa afunge ndipo tuuone mchango wake.
Ila kuna kazi huwa anaifanya kurudi kukaba mbaka kwenye box ambapo kwa zile namba tisa kama namba tisa ni adimu kufanya hivyo. Morata naye alikuwa na uwezo huo, sasa kama Morata kaondoka sioni namba tisa ya kurudi hivyo.
Game inavyochezwa nahua wengi huwa na kimuhe muhe ila ukiweza kuangalia marudio ndipo utagundua kumbe Karim kuna vitu huwa anasaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Real imejengwa icheze kitimu zaid siyo kumtegemea namba tisa kutupia ndiyo maana ukiangalia karibia kila mchezaji pale anatupia, hiyo kuepukana na kumtegemea sana namba tisa siku hayuko vizuri anakosa magoli kila akitengewa timu itakosa ushindi.Sio kwamba Benzema hana mchango kwenye team, ishu ya Benz ni kurelax, ana hiyo mambo sana, mataani tunasema anacheza sana kifather, nikimaanisha hana njaa na magoli, sasa kama CF wako hana njaa na ushindi ujue una tatizo, hatakiwi kumwachia CR7 hiyo kazi, yeye afanye majukum yake ya no. 9, kama ana vitu vingine anasaidia kwenye team sio mbaya ni vizur pia, ila anatakiwa atuhakikishie zaidi ya goli 20/season.