Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Kule kauli zinabadilika badilika tu mara ooh kipa kawa mzito mara Messi kocha amtoe anamuaibisha mara suarez nae sijui vipi!Siwaoni humu wale visebengo wa Barca wanakujaga kuleta maneno mbofu mbufu kwa thread isiyowahusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahahhqq kwa nini mkuu. We tim FCb?Huyu ni wa kumteka tu
huwezi jua
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
[emoji23][emoji23][emoji23]*Real Madrid vs Barcelona*
*Score: 2 - 1*
Min 46
*[emoji460] Goal!! Neymar
*Long shot from Psg.*
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli za Mwekundu hahahahaKule kauli zinabadilika badilika tu mara ooh kipa kawa mzito mara Messi kocha amtoe anamuaibisha mara suarez nae sijui vipi!
Mechi ya 66 tunascore.....Kama nipo sahihi
____________