Mkuu nimeona hiyo kitu mitandaoni...yani hao ni mashabiki Wa Barca...na wanasema hayo baada ya kuona Ronaldo ameshafanya some wonders na imebaki tu champion league tittle itakayompa nafasi kubwa ya kunyakua tuzo hiyo hasa akiwa pia mfungaji bora Wa michuano hiyo,Hao jamaa wanashangaza walianza kwenye LaLiga wakisema Forca Sevilla...tulivyowapiga Sevilla wakaamia Forca Celta...tulivyowapiga Celta...Wakaamia Forca Malaga...tulivyowapiga Malaga na kuchukua league tittle...wameamia Forca Juve kwenye UEFA-Final nasasa Forca Buffon Kwenye Ballon D'or ili tu Cristiano asiipate hiyo tuzo...hatari sana hao watu!