Ninajua kabisa, wale wajamaa wa upande wa pili kila mmoja anasali kwa namna yake!! badala wafikirie game yao, wao wamehamishia macho yote kwetu!! Hope vijana wataendelea kuwaumiza kwa kuwafunga Malaga!!
Hii game karibia iliniletee matatizo!! kadri muda ulivyokua unaenda ndio wajamaa walikuwa wanaendelea kutukazia!! Sema morale ya vijana wetu ilikuwa juu sana, na hatimae tukachukua mwali wetu!! Hope na Leo vijana wetu watafanya hivyo hivyo, [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!!