Isco in his SUPREMACY...me namwitaga [HASHTAG]#ISCOMALAGA[/HASHTAG]...A one among the brilliant midfielder with a stylish Playmaking...better for him!!!
Vamos Cristiano!...yani Kroos yupo kama hayupo vile hadi kwenye celebrations yeye ni polite one,ivi mlishawai kumuona huyu master-pass wetu akiwa kwenye pair nyengine ya njumu?...ama ni hivyohivyo tu alivyovaa,maana me sijamuonaga jamaa akiwa na Six nyengine kwa kweli.
Kuelekea June 3,fainali ya UCL kati ya Madrid na Juventus. Nitakuwa nawapa baadhi ya Habari ambazo vijana wadogo hawajui kuhusu real madrid na historia yake kwenye uefa champions league
Tangu Kombe libadilishwe jina kutoka European cup na kuitwa uefa champions League ni timu moja tu yaani real madrid ambaye amecheza fainali Zaidi ya moja na hajawahi kufungwa. Ila timu zote ambazo zimecheza Zaidi ya fainali moja zimepoteza fainali. Inaendelea
3.Ac Milan
Bingwa mara (3)
1994
2003
2007
Imepoteza mara (3)
1993 kwa Marseille 0-1
1995 kwa Ajax 0-1
2005 kwa Liverpool
Kwa hiyo ukiangalia Ac Milan imeingia fainali 6 lakini imeshinda 3
6.Juventus
Bingwa mara (1)
1996
Imepoteza mara (4)
1997 kwa dortmund
1998 kwa real madrid
2003 kwa Ac Milan
2015 kwa barca
Kwa hiyo ukiangalia juventus wameshaingia fainali mara 5 lakini wamechukua mara moja. Hawa hawana bahati na fainali.