Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Now Real Madrid need one point to take the title of La liga. Hala Madrid!!!
 
Madrid wangemuuza Bale, maana mcm mzima Ni majeruhi tu, tetesi za lsco kuuzwa hazpo tena, jamaa amekomaa sasa Na anaweza kuibeba Madrid kma midfield


Kuna tetesi kuwa Bale anaweza kupigwa bei kama ataendelea kuwa hivi. Manchester wako tayari kulipa hela, lakini anaweza kupigwa another season as trial.
 
Majirani msije kuanzisha Malaga Special Thread


wata hama sana mwaka huu, wakitoka Malaga watahamia Juve na cc tunapiga tu hao waume zao


wata hama sana mwaka huu, wakitoka Malaga watahamia Juve na cc tunapiga tu hao waume zao


Barca fans msimu huu wamekuwa kama prostitutes, wamezurura timu zote Roma, Valencia, Bayern, Atletico, Sevilla, Celta na sasa wamekuwa mashabiki wa Malaga. Prostitute fans always have broken heart
 
Bufa Real Madrid hawawezi kuchukua ushindi mbele ya Malaga kirahisi rahisi inabidi pachimbike. Wale watu wanakuwaga noma sana wakiwa kwao. Wana yule golikipa wa kuitwa Kameni ni habari nyingine.
Yule kipa ananipa mashaka sana hakika ila merely a draw will do. Draw hatuwezi kosa.
 
Yule kipa ananipa mashaka sana hakika ila merely a draw will do. Draw hatuwezi kosa.


Inabidi tuwafanyie demage mapema kama Celta, goli kabla dakika ya 10. Yaani tuchukue ubingwa dakika 45 za mwanzo, la sivyo kuna watu watakufa kwa presha
 
Bufa Real Madrid hawawezi kuchukua ushindi mbele ya Malaga kirahisi rahisi inabidi pachimbike. Wale watu wanakuwaga noma sana wakiwa kwao. Wana yule golikipa wa kuitwa Kameni ni habari nyingine.
Madrid ushindi kwa malaga ni nje nje, kocha wa malaga bwana michel ni madridista pure tena wa bila kupepesa macho, na mara nyingi kwenye press amekua akionesha mapenzi yake wazi kabisa kwa madrid.

Kama mwezi mmoja tu umepita bodi ya Barcelona ilitaka kumshitaki FIFA baada ya kuwaita Barcelona ni scums,
 


Doesn't change anything. Hakuna easy win kwa Malaga, na Real wakishinda itakuwa kwa game yao, si kwa vile coach wa Malaga ni Madridista
 
Zizou's Post-Match Presser:

"We must continue on in the same vein because the title race isn't over just yet. It all comes down to the final game and it'll be tough, just like tonight's game".

"They're all happy and in fine spirits. We're going to keep doing what we've been doing up until now. We can't take anything for granted and have to go out and play our game. It'll be tough but we'll try and go all out and we're just focused on winning the game".

Cristiano Ronaldo
"He's feeling great and today he's shown it again here tonight. He has put in a massive shift and worked really hard defensively too. You can tell from the way he's playing that he's in very good nick.

“From an outsider’s point of view, I enjoyed watching the team, and I’m sure that everyone who loves Real Madrid have been enjoying themselves for the last nine months, even if there have been some difficult spells."

Nacho
“He didn’t play but he’s pleased. It was crucial for him to be here with us. He didn’t start the game and I took Casemiro off because he was on a booking, and then Isco and Cristiano Ronaldo because they were just walking a suspension tightrope".


 
Marca's Cover | "Champion Style: Madrid thrashes Celta with a brace from Cristiano."

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…