Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #28,801
Nimekusoma sana Mkuu!! nilikuwa ninataka kujua tu kuhusu hatima yake, inapendeza sana kumbakisha huko ili aendelee kukomaa zaid.
Vinicius Jr atabaki kucheza Brazil mpaka atimize miaka 18, atakuja kujiunga na kikosi moja kwa moja lakini itakuwa msimu wa 2018/2019. Vuta subira mkuu.