Kwa sasa Benzema amechoka Morata anastahili kuanza badala yake lakini alivyosajiliwa Benzema alikuwa mchezaji muhimu sana (team player) kwa Madrid kumbuka ni ngumu sana striker kukubali kucheza chini ya kivuli cha CR7 kama kina Henry,Zlatan,Sanchez walivyoshindwa kucheza kwenye kivuli cha Messi.Kumbuka Higuain alishindwa akaamua kusepaReal wastes alot of money on average players
Bale, James,Kaka, Owen, Benzema
Hao wote ni very average na hawasaidii kitu
Ni Cristiano Pekee ambae karudisha thamani ya hela aliyonunulia tena kazidi thamani yake
Na kwa jinsi ilivyo lazima tupate goli tu.Tukipata goli moja la mapema mchezo utakuwa umeisha tutacheza kwa raha.
Inaonekana ndio mpango wao, ila sidhani kama watatupa shida yeyote, muhimu ni wachezaji wetu kutulia na kucheka kwa adabu, hata kama tumeshafungwa., nidhamu ndio itatuvusha Leo.Atleti wanampango wa kupiga buti. Wataharibu game ndani na nje ya uwanja, ndio tabia yao lakini ushindi ni lazima.
Inapendeza sana kupata mbadala wa Marcelo, kidogo itamsaidia kupumzika kwenye game zisizo na presha, hope dogo ata deliver.Atleti will finalize the Theo deal after the UCL 2nd-leg, Atletico are very angry that Theo already taken his Madrid medical. [AS]
Hiv hii ishu ya Vinicius Jr inakuaje, ataingia kwenye first team moja kwa moja, ama ataanzia kwanza Castilla?