Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #28,741
Jamaa wamedrop form lakini lolote linaweza kutokea maana ni timu kubwa hizo. celta wanapoteza sababu walikamia Europa. tarehe 17 watakuwa hawawazii Europa.
View attachment 505831
Huyu dogo ni future best player kama majeruhi yasipomuandama!After that one billion deal with Adidas Real Madrid are not worried about transfer sums at all, Vinicius is very talented and he'll be in Madrid in 2018. Here's a small example of what he can do on a football field, he's only 16.
Kweli kabisa Mkuu, wengi wao badala ya kupanda walishuka kabisa, kuanzia akina Kaka, akina Michael Owen na wengine wengi waliishia kuzingua, na bado maboss hawajifunzi kwny hilo, Bado ninaona mambo ni yale yale kwasasa kuna Dogo wa Brazil ndio wanakimbizana nae, ana miaka 18 tu ila bei yake ni €49m, Hapo wameshasahau ishu la Lucas Silva. Msimu ukimalizika wataanzana na Mbappe.90% ya wachezaji ghali wa Real hawakufikia malengo
Na hata hao wote watakao nunuliwa hakuna atakae fikia malengo au matatajio ya real
Natamani kati ya Lewandosky au Piere Aobamiang atue bernabeu next season