Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #28,621
Itakuwa kumbukumbu ya final ya 1998Juve hatuwaogopi , kwanza huko nyuma Real Madrid wanapokutana na Juventus kila timu inashinda nyumbani kwao ,sema juve walikuwa wanapita kwa goli la ugenini ! Sasa fainali hakuna goli la ugenini wala marudiano. Hapo tutajua ni nani mbabe sasa!