Hahaha, kama kawaida, hao wajamaa wana kazi ya kuvizia wachezaji, last time Casemiro ndio alikukumbwa na hilo seke seke kule Munich!! na vipimo vikitoka watuambie.
Juve hatuwaogopi , kwanza huko nyuma Real Madrid wanapokutana na Juventus kila timu inashinda nyumbani kwao ,sema juve walikuwa wanapita kwa goli la ugenini ! Sasa fainali hakuna goli la ugenini wala marudiano. Hapo tutajua ni nani mbabe sasa!
Atleti wanampango wa kupiga buti, kuprovoke na kuharibu game. Watu kama Ramos wasipoangalia watapewa Red Card ndio itakuwa advantage kwao. Siku hiyo inatakiwa 100% focus, calmness na kutumia vizuri nafasi zote. Watu kama Benzema wana haki ya kuchoma mahindi siku hiyo hakuna kubahatisha.