Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Me nawaambia kila siku huwezi mfananisha Cr7 Na zombie la mtaa wa pili kule.
Cr7 kacheza EPL bwana
Wazee wa offside.
 
Goli10 mechi 11 aisee jamaa anapenda sifa huyuu na record safari hii inaandikwa kwa mara ya kwanza na wenye record zao madrid UCL kubebwa mara mbili mfululizo na timu moja.
 
km uefa wanafanyaga njama za kuzitoa timu zilizochukua kombe msimu uliopita ili zisichukue tena kwa mfululizo kwa hawa jamaa wamegonga mwamba,wakawasaidie tu barca kulima matikiti maji kule catalunya hihihihihiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…