Imekuwa ni kipnd cha kwanza chenye msisimko kweli kweli!! nimependa vijana wanavyopiga kazi mle ndani, wanajua wanachohitaji ni bahati tu bado haijatudondokea ila kila kitu kinaenda poa!!
Oblak amewasaidia sana mpaka sasa!! Hope kipnd cha pili nyavu zitakubali.