Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #26,781
Hope mambo yatabadilika Leo, tunahitaji hizo point 3 kwa hali na mali!! ngoja tusubir hiyo baadae!! VamosReal¡¡ [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]Real Madrid have lost last three home games against Atlético in La Liga. Let's change it today. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
duuh
mechi ya leo imewekwa mda flan hivi mgum kishenzi yaan
hahahahaHuko wapi mkuu? Leo saturday hakuna misebenzo au sio?
Chanel gani wanarusha mechi ya Yanga?hahahaha
hapa nilipo, kuna Tv 2, moja inachek Yanga ingne nadhani wana liverpuli wameshajaa wanataka mechi yao.
nikisema nichek online, Voda kwa sasa hawana maana kabsaa. ingekuwa usku kdogo kunatulia
sema ntakuwa nafuatilia updates hapa
sijajuaChanel gani wanarusha mechi ya Yanga?