Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hawa Napoli wametukomalia kweli, ninaona mbinu yao ya kutukabia juu inafanya kazi, ishu hapa ni moja tu sasa, Zidane itabid awatoe mmoja wa BBC, amwingize Isco ili kuiwezesha team ikae na mpira zaid!!
Game kama hiz hua zinatuwia ngum sababu Casemiro hawez kukaa na mpira, ukichangya na hawa ndg zetu wa BBC kuwa sio watu wa kukaba, basi akina Modric na Kroos wanapata shida sana.
So sub ya Isco itakuwa ya maana kweli kweli!!
 
Zidane should go with more attacking approach in the second half. Must bring james or isco on. We can't just sit back and hope that we will win this tie.
 
Na hii huwa ni kitu inayo jirudi daily
Cjui kwa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…