Lakini Asensio na James wana great link up, Sometimes nafikiria life's tough to be a Real Madrid's player, yaani hii talent ingekuwa timu nyingine, ndio ingekuwa starting combo for sure.

Ki ukweli mimi huwa nawish Asensio awe anapata time sana, kama leo unamuona ana jiconnect vzuri halafu anapenda kujaribu atakuja kuwa ana funga magoli mazuri sana huyu.
Naamini muda wake wa kutegemewa kabsa utafika tu